Recent content by daud herman

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu LATRA Habibu Suluo hizi namba zenu 0800 11 0019 na 0800 11 0020 hazina msaada, toa namba zako mwenyewe

    Tanzania ni nchi moja yenye muunganiko wa bara na visiwani . Na pande zote mbili zinawakilishwa na Taifa moja ambalo ni Tanzania Tuweke hoja mezani ikiwa ni kutokutatuliwa kwa matatizo yako au ya Watanzania na sio kuleta ubaguzi wa kikanda. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu LATRA Habibu Suluo hizi namba zenu 0800 11 0019 na 0800 11 0020 hazina msaada, toa namba zako mwenyewe

    Pole sana kwa hiyo changamoto Ila binafsi kuna nyakati mbili tofauti nimekutana na changamoto ya usafiri, nilipiga simu nikapokelewa vizuri, nikahudumiwa kwa ufasaha, na nikapewa backup ya msaada wa Namba za afsa wa LATRA aliyeko katika mkoa niliokuwa (Mwanza) Na ilikuwa ni usiku, lakini...
Back
Top Bottom