Recent content by DART Mwendokasi

  1. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania KERO Vituo vya Mwendokasi njia ya Mbagala - Kivukoni na Mbagala - Ilala Boma kuwe na vyoo, abiria wanapata tabu wakihitaji huduma

    Tunajibu hoja zenu mara kwa mara maana ndio wajibu wetu, kuhusu kadi kuna baadhi ya mambo yanakamilishwa na muda sio mrefu zitaanza kupatikana. Tuendelee kuwa na subra kidogo. Asante.
  2. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania KERO Vituo vya Mwendokasi njia ya Mbagala - Kivukoni na Mbagala - Ilala Boma kuwe na vyoo, abiria wanapata tabu wakihitaji huduma

    Tunakushukuru kwa maoni yako ndugu Anonyimous , Mradi wa DART maarufu kama Mwendokasi ni mradi wa Kimataifa sio kama hapa kwetu Tanzania ndio wa kwanza, usanifu wa mradi huu unataka vituo vikuu (Terminals tu) ndio ziwe na vyoo, mfano Mbagala kuna vyoo kadhalika na Kivukoni kuna vyoo pia, kwa...
  3. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Je umepakua Mwendokasi App kwenye simu yako? hakika hutajuta pakua sasa Mwendokasi App ili urahisishe ulipaji wa nauli vituoni kama huna kadi ya Mwendokasi. Mwendokasi App ni njia rahisi na salama. Kwa maelezo zaidi tufuatilie kwenye mitando yetu ya kijamii kwa anuani za DART Mwendokasi, ama...
  4. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Mradi wa Mwendokasi Awamu ya Pili wazinduliwa Rasmi. Mh.Rais Asisitiza wananchi kuwa walinzi wa miundombinu.
  5. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    TANGAZO: Tunapenda kuwajulisha wadau wote wa usafiri wa umma Jijini Dar es Salaam, watumiaji wa usafiri wa Mwendokasi pamoja na wadau wote wa mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuwa tutakuwa katika Maonyesho ya Kimataifa ya 50 ya Biashara (DITF) kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere katika...
  6. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Ubabaifu uko wapi ndugu? aliyekwambia tuna shida ya Mabasi ni nani? na je huoni namna watoa huduma wetu wote wanavyozidi kuongeza idadi ya Mabasi? na Je? unajua kule Mbagala peke yake kuna idadi gani ya magari? fanya utafiti wako ikiwezekana uende uone idadi kubwa ya mabasi mapya yasiyokuwa na...
  7. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    TANGAZO. Kwa kutambua mchango wa Sekta binafsi katika utoaji wa huduma ya usafiri, pamoja na kero ya msongamano katika eneo letu la MBAGALA, Serikali imezielekeza Daladala zote zilizokuwa zikitoa huduma kituo cha MBAGALA Ragi Tatu, kuhamia rasmi ndani ya Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mwendokasi...
  8. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Mara bada ya kukamilika kwa miundombinu huduma hiyo itarejea , na taarifa rasmi itatolewa tafadhali endelea kutufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii ya Facebook, Instagram, X ama zamani Twitter na Linkedin kwa anuani ya @DARTMwendokasi, pamoja na DART TV kwenye YouTube.
  9. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Tunapenda kuwafahamisha wateja wetu wa Mabasi Yaendayo Haraka kuwa hairuhusiwi kulipa pesa taslimu kwenye ulipaji wa nauli abiria unatakiwa kulipa nauli yako kwa kutumia Kadi Janja ama Programu tumizi (App) ya Mwendokasi pekee. Kumejitokeza baadhi ya watumishi wasio waaminifu ambao kwa makusudi...
  10. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania Mabasi mapya ya mwendokasi hayana hata wiki yameanza kubuma barababarani?

    Ukweli huu hapa tusilete taharuki kwa wana mbagala.
  11. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Ufafanuzi juu ya Basi Jipya lililonekana katika mitandao ya kijamii likidaiwa kuwa ni bovu
  12. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    https://www.jamiiforums.com/threads/dart-marufuku-watoa-huduma-binafsi-kutoa-taarifa-za-usafiri-wa-mwendokasi-brt-ikiwemo-mikataba.2371765/
  13. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

    Maswali yale aliulizwa mtu wa UDART sio wa DART jielimishe zaidi kuhusu mradi huu.
  14. DART Mwendokasi

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    kila kitu kiko sawa maandalizi yamekamilika na watu wetu wa operesheni wamejipanga vilivyo kuhakikisha mambo yanakuwa sawa.
Back
Top Bottom