Kutokana na research yangu baadhi ya watu wanasema biashara ya uuzaji wa bondo(swim bladder/fish maw) za samaki ni ya kwanza kuliko zote na inataka mtaji kidogo.
Kwa wale ambao hawafahamu bondo(swim bladder/fish maw)za samaki.
Bondo ni chombo cha samaki kama sangara kinachowasaidia kuogelea...
Salam sana wakubwa na wadogo.
Nahitaji idea nzuri ya biashara ambayo
Haina usimamizi mgumu kwasababu mimi ni mwanafunzi ambaye niko chuoni kwahio mda mwingi nakuwa darasani.
KWAHIYO NILIKUWA NAWAZA KUTUMIA HIZI FEDHA KUANZISHA BIASHARA WAKATI MIMI NIKIWA NASOMA..
Baadhi ya biashara nilizowaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.