Duhhhh, itabidi wakongwe warudi kutoa shule kwa vijana wetu. Sasa utakuwaje mwanamume kama vitu vidogo kama hivyo vinakupa kichaa?
Haki ya nani hiki kizazi ndo hivyo tena. Hatuachi kitu nyuma yetu aisee!!
Babu DC.
Hawa watoto achana nao teacher. Hii haina tofauti na story ya couple ambayo mtoto akilia wote wanalia.
Hiki kizazi kinaangamia machoni petu haki ya nani!!!
Mzima lakini teacher?
Maskini DA,.....duuhhhh. Nakumbuka mara ya mwisho tulipoonana Nairobi Dec 2012. Sitakusahau dada yangu DA.
Pumzika mpendwa, tutakukumbuka sana.
Babu DC!!
Tunahitaji mshauri wa mambo ya uwekezaji (investiment advisor) kwa ajili ya mradi wetu ambao tunataka kuufanyia kazi. Kama kuna mtu anataarifa yoyote basi tuwasiliane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.