Mtoa uzi kaongea vizuri,ila amekosea kuongelea kifo na life expectancy ya HIV,hupaswi kufanya hivyo maana hujafanya research ya kutosha umefanya kwa ndugu zako tu,pia ili kufika conclusion ilitakiwa afuatilie wanaotumia arvs kama hakuna ambao wamezaliwa nao na sasa wana 30yrs+ na wapo vzr tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.