Kama peripheral neutopathy ziko damaged mana ake kuna factor for damaging,
Kwa mana ya kisababishi ja ugojwa either bacteria, virus or fug
Au zinakuwa damaged namna gan mkuu tafadhal
Jaman msaada tafadhali nilitoka na mschana wa babashop
Kesho yake nikahisi kama kunavitu mwilini baaada ya Siku tatu nikawa nasikia maumivu kama kunasindano mwilini, hali imeenda kuwa mbaya zaaidi mpaka SAS misuli, joint na sehem ya mbavu kwa chini zinauma sana.
Mikono inawaka moto na miguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.