Recent content by dantaboi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaume naomba mnifundishe kutongoza na Wanawake mnipe ujuzi wa kuongea nanyi na kuwatongoza

    usiombe yakukute, utaomba ardhi ipasuke ujifiche naibeba aibu kubwa sana mtaani hadi kazini ila mungu wangu atanivusha tu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaume naomba mnifundishe kutongoza na Wanawake mnipe ujuzi wa kuongea nanyi na kuwatongoza

    nitumie hiyo mistari na mimi nijibebee utamu kaka
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaume naomba mnifundishe kutongoza na Wanawake mnipe ujuzi wa kuongea nanyi na kuwatongoza

    mimi sio mbahili hela pia ipo sasa shida ni kua sina cha kusema hata nikiwa na hela mfukoni sijui nifanye nini, naaibika kakaangu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaume naomba mnifundishe kutongoza na Wanawake mnipe ujuzi wa kuongea nanyi na kuwatongoza

    asante kaka ninayo ngoja nitafute namba za watoto wazuri
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaume naomba mnifundishe kutongoza na Wanawake mnipe ujuzi wa kuongea nanyi na kuwatongoza

    brother GuDume mimi siwezi hata pa kuanzia mwenzio yan naweza kumuona demu mkal moyoni nasema huyu nashinda lakin nikikaribiana nae tu nakua zoba sijui hata naanzaje kumsalimia kuna mtu kaniambia nikufate wewe ndio fundi wa kutongoza, npe mbinu za mchezo kaka
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaume naomba mnifundishe kutongoza na Wanawake mnipe ujuzi wa kuongea nanyi na kuwatongoza

    kaka umri wangu ndio huo ila mwenzio sijiwezi nipe mbinu tafadhali
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaume naomba mnifundishe kutongoza na Wanawake mnipe ujuzi wa kuongea nanyi na kuwatongoza

    samahani kama nimekukela ni mambo ya dunia tu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaume naomba mnifundishe kutongoza na Wanawake mnipe ujuzi wa kuongea nanyi na kuwatongoza

    ndio sisi vijana wenu mimi nimejitokeza ila naamini wapo wenzangu 99 wamejificha wanalia na wakwao, nisaidie ndugu
Back
Top Bottom