Recent content by Danstan Jr.

  1. D

    JamiiForums Tanzania niokoe ndugu yako!

    asante ndugu ntatumia ushauri wako then ntarud jamvini!
  2. D

    JamiiForums Tanzania niokoe ndugu yako!

    nashindwa kuelezea vyote maana ni ving,asante mkuu
  3. D

    JamiiForums Tanzania niokoe ndugu yako!

    hapana sipat maumivu ya tumbo ila nakuwa na hali ya kutaka kutoa kila saa
  4. D

    JamiiForums Tanzania niokoe ndugu yako!

    tumbo mara zote huwa lina gesi nyingi sana,muda mwingne harufu ni mbaya sana,msaada
  5. D

    JamiiForums Tanzania niokoe ndugu yako!

    athante ndugu,ntajaribu
  6. D

    JamiiForums Tanzania niokoe ndugu yako!

    habari za sasa wana jf wenzangu naomba nipate mawazo yenu ama msaada kwa haya majanga.Mimi ni kijana wa kiume,miaka 19 nina tatizo la kujamba sana tena kila wakati,shida zaid ni kwamba huwa si kwa hiari yangu ila nakuta tayari ishatoka bila mimi kufahamu wala kuruhusu.Tatilo hili lilinipata...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa Sua tufahamiane humu

    samahan kaka,nami nipo course hiyo,je unajuaje kama upo main campus au mazimbu?
Back
Top Bottom