Dr. Vicent Mashinji, hapo umepotoka, hii tabia ya kuwashawishi wataalamu wa Tiba za binadamu kugoma au kama ulivyoeleza kutompa ushirikiano mkurugenzi mpya bila kuangalia madhara yake umepotoka. Kumbuka ulisababisha ndugu zetu kufa kutokana na kushawishi mgomo wa Madaktari bila kuangalia madhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.