Recent content by danime255

  1. D

    KERO Makato ya malipo ya kadi Kivukoni-Kigamboni

    Nimelipa Elfu 2 kwenye N-CARD nimwekewa 1900Tsh eti kuna makato ya Tsh 100. Hii inatokea kwa wengine imekubalika pale ferry. N-Card ni platform ya malipo ya serikali kwa faida ya serikali, lakini kama inanufaisha wengine, kwa kutotoa elimu zaidi ya namna ya kulipia kadi hiyo, au kutofanya...
  2. D

    Muenendo wa chuo kikubwa Afrika Mashariki na Kati upande wa kanzi tiba

    Habari...! Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa pili katika chuo kikubwa Afrika mashariki na Kati. Katika kusoms kwangu toka nikiwa mwaka wa kwanza nilisikia chuo hiki kinafuata utaratibu wa Carryover under 16, ambayo inamfanya mwanafunzi arudie mwaka bila kufanya supplementary. Na hii ipo applied kwa...
Back
Top Bottom