Anatumia zote beer na hizi kali. Ubaya zaidi anatumia pesa nyingi Bar zaidi ya laki tano na kuendelea Akilewa kurudi asubuhi kwa uzoefu wenu wadau je swala la ndoa hapa litawezekana au nirudi kwetu Marangu? Je anaweza kubadilika kama anavyosema🥲🥲
Naomba ushauri.
Nina mwanaume wangu lakini ana tabia ya ulevi uliokithiri yani kulewa mpaka asubuhi na huendelea siku inayofuata mfululizo.
Kila wakati anaomba msamaha kubadilika hali ni ile ile. Kwa wazoefu unahisi anaweza kubadika au kwenye Ndoa vitendo vitazidi. Nimevumilia yapata miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.