Recent content by daniel tsoray

  1. daniel tsoray

    JamiiForums Tatizo la ku-login wenye account ya TCU linatokana na nini ?

    Kwa maoni ya wadau wengi wanasema tarehe 10 inaweza kuwa possible matokeo kutoka so msiwe na haraka kuweni na subira ili mpate vyuo bora
  2. daniel tsoray

    JamiiForums Tatizo la ku-login wenye account ya TCU linatokana na nini ?

    leo nmejaribu kuwakol watu wa tcu kwasababu hyo ish hata mi pia ilkuwa inanisumbua wameniambia tatzo ni password unayoingia weka digits ziwe 6..like kama hapo jaribu 'chetus' iwe ndo password yako@Baba Genovivah Hlf labda ushauri wa bure usiziweke sana hzo vitu hadhari kama ulivofanya ...that is...
  3. daniel tsoray

    JamiiForums Tatizo la ku-login wenye account ya TCU linatokana na nini ?

    Thanks guys...imekubal now...
  4. daniel tsoray

    JamiiForums Tatizo la ku-login wenye account ya TCU linatokana na nini ?

    Sory brthr what do you mean nipm...and then what is the solution for that problem@ CharlesMunyaka
  5. daniel tsoray

    JamiiForums Tatizo la ku-login wenye account ya TCU linatokana na nini ?

    Huyo ni mdogo wang wewe...cwez nkafanya vtu vya kiupumbav km unavofkr...kwnz nfanye hvo il inisaidie nn akat na m nna elim yang nzur ..m nnachotaka n kumsaidia coz stl yupo jesh so in any case i suppose help her..ameniomba nmsaidie dats y ilvoshndkana nmekuja kuulza..acha kuwa na fikra potofu...
  6. daniel tsoray

    JamiiForums Tatizo la ku-login wenye account ya TCU linatokana na nini ?

    May labda nakosea vtu wanvohitaji...c unaandka like eg. (S0674.556.2011) thn na password yake right!!. MAKAH
  7. daniel tsoray

    JamiiForums Tatizo la ku-login wenye account ya TCU linatokana na nini ?

    Jamani nina mdogo wangu anasubiria selection za vyuo but nimejarb several times kulogin kwenye account yake ya TCU but inaniandikia login failed. Kuna mtu yeyote aliyewah jaribu kulogin ikakubali ?
Back
Top Bottom