Recent content by DANIEL MAKADAM

  1. D

    Nahitaji watu wa kusaidiana nao kuzalisha kipato

    Kaka mimi niko tayari na niaomba tuwasiliane kwa 0756977698 au 0788037644 kwasababu hata mimi nina mawazo mengi ya biashara ila sina kipato, kwahiyo nazani utanisaidia sana kwa hilo, please naomba tuwasiliane
  2. D

    Solution ya Mjasiriamali, Biashara yako na Kampuni yako

    PLUS FINANCE COMPANY LIMITED ni Kampuni ya Kitanzania inayomuwezesha Mjasiriamali au anaetaka kuwa Mjasiriamali, Mfanya Biashara au anaetaka kuanzisha Biashara na Mwenye Kampuni au anaetaka kuwa na kampuni kupata huduma zifuatazo:- Mkopo wa bei nafuu kuliko zote Tanzania Micro finance...
  3. D

    Natafuta Kazi, mimi ni mlemavu

    Mimi ni graduate mwaka huu(2014) kwa Bachelor of Commerce in Banking and financial services(UDSM), na nina ulemavu wa miguu na ninaangaika sana kutafuta kwasababu wazazi ambao wangenisaidia walishafariki na sina mtu yeyote wa kuweza kunisaidia niweze kupata kazi. Nawaomba watanzania wenye...
Back
Top Bottom