Recent content by Danhappy

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Mdau wa chimbo la vitenge Dar nashukuru mno nilienda na nilipata bei nzuri 20,000/= jumla
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Udalali Dar mkubwa una mtu mwaminifu anauza nzuri?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Wadau tuambieni mabel ya mtumba original Dar tunapata wapi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Kwa Dar sijui chimbo, ngoja waje wakupe chimbo ndugu.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Dar mapochi kibao, Nairob hamna.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Viatu kwa Nairob vipo eneo linaitwa Kamkunji, nguo utapata eslee kibao.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Matangazo

    Wakuu nani amewahi kutangaza fb kwa njia ya ku sponsor na akafanikiwa? Unalipia tangazo kwa njia ya bank....mje msaidie tulio wagen kama inasaidia
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Dar tafuta chimbo kwa mchina direct zipo za kutosha na ni ndan ya nchi hutalipa ushuru.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nimekuja kugundua wenye mitaj midogo wanafaidika mana kwenda china tu mtaji huo
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Utapata Sent from my Fire2 3G using JamiiForums mobile app
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Uganda sijawah kwenda ila Nairob na Dar wanakaribiana kidogo bei ninachofanya kiatu kikitoka kama hakijafika Dar nakiuza chapchap kikifika Dar mi nishakula naacha hivyohivyo.
Back
Top Bottom