Recent content by DAMU MPYA

  1. D

    Msajili: Mwigamba ni sawa na jiwe lililojambiwa na chui

    Namba ya gerald emmanuel aliyemkwida mwigamba 0754290428 / 0784290428
  2. D

    Msajili: Mwigamba ni sawa na jiwe lililojambiwa na chui

    Nadhani gerald ni dhehebu lingine linalosali jumapili ndio maana ametamka jumapili kwa kupitiwa badala ya jumamosi, hata hivyo ukimpigia utamsikia alivyojaa hasira jamaa anaongea mpaka anatamani kupiga ngumi..naombeni akiniruhusu niweke namba yake hapa ili muelezwe nae ukweli pia
  3. D

    Msajili: Mwigamba ni sawa na jiwe lililojambiwa na chui

    Mgogoro unaoendelea hivi sasa katika chama cha ACT-TANZANIA umechukua sura mpya na kupelekea msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Mtungi kuwakutanisha pande mbili zinazopingana na kugororishana ndani ya chama hicho. Pande zote mbili zinahisiwa na kulaumiana kuwa kila upande unatumiwa na...
  4. D

    Prof. Lipumba akerwa na Zitto Mtwara

    Prof. Lipumba ambaye ni wenyekiti wa chama cha wananchi Cuf amekerwa na tabia isiyo ya kinidhamu wala staha iliyofanywa na mbunge wa kigoma kasikazini Bwana Zitto Kabwe, Katika kikao cha dharula alichokiitisha usiku ule wa mkutano baada ya kumaliza kuhutubia, alitufokea viongozi wa Mtwara...
  5. D

    Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Panya rodi wanaoibia wananchi na kuwadhulumu huwa wanatumia style nzuri sana. Mfano wanainga bar kama wateja wa kawaida halafu wanaangaria mteja gani mwenye fedha, wanasoma kaunta imekaaje, ghafla wanaanza kupiga na kuwamaliza wateja na kuwapora kila kitu, Kwenye siasa panya rodi ni hao...
Back
Top Bottom