Jamani mapenzi eti yanaua? Maana kuna jamaa kafa na pressure kisa mpenzi wake kamsaliti.
Sasa huyu aliyebaki nae anataka kujiua maana familia zote zinamsema vibaya.
Je nimshauri nini wadau naombeni mawazo yenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.