Recent content by Damas Domician

  1. D

    Nahitaji viti vya kukodisha

    Mm ni mkazi wa Dar nahitaji viti vya kukodisha kwa ajili ya sherehe ndogo tu viwe vya chuma
  2. D

    Biashara Zanzibar

    Habarini ndugu zangu wana JF Mimi niko Dar es salaam na ninataka kufanya Biashara kutoka Zanzibar na kwa utafiti nimegundua Biashara ya electronics kutoka Zanzibar ni rahisi ila sijui ni electronics zipi haswa na accomodation za kwenda huko na guest itakiwa ni bei gani? Pia kama kuna mtu anaejua...
  3. D

    Natafuta Inks za kuprint T-shirt's

    Natafuta Inks za kuprint T-shirt's ziwe na quality nzuri kama unauza naomba unifahamishe na bei mimi niko Dar.
  4. D

    Nauza T-shirt na Vest za African Loyalty

    unahitaji Vest au T-shirt Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    Nauza T-shirt na Vest za African Loyalty

    Bei ya Vest ni 13,000/= Tshs na T-shirt ni 18,000 napatikana Sinza Dar-es-salaam. Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    Nauza T-shirt na Vest za African Loyalty

    T-shirt na vest mpya za AFRICAN LOYALTY zinapatikana kwa bei ilioo poa na kwa ubora mkubwa. Napatikana Sinza,Dar-Es-Salaam T-shirt nauza 18,000 na Vest jipatie kwa 13,000 Tunafikisha Ulipo wasiliana nasi +255718274383 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom