Recent content by dalumi

  1. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Update. Mm imenitokea hio. Nilipoupdate ikawa fresh
  2. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na sio kila mkeka unaweza cash out. Kuna mingine hamna hio kitu.
  3. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio kuna condition zake. Kwa 1xbet ukiona kwenye mkeka wako kuna neno sell na kiwango cha pesa ndio hela utayoweza kucash out. Usipoiona huwez cash out. Pia waweza ona neno sell na usiweze kucash out kama tu odds za mkeka wako zimebadilika. Cha kufanya rudia rudia mara kwa mara hadi utapofanikiwa.
  4. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Download application yao. Ya simu.
  5. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nakukunda Munguanakuona kutukimbiia jana
  6. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Washenzi kweli nmeamua kucash out tuu mie
  7. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa ushauri wangu bora uturbo na ustake tena. Hio od ulibakiza ni ndogo mno ina madhara kidogo saana. Ikikuchania utajilaumu saana
  8. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahahhahahahahhahahaaa
  9. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mpambano bado unaendelea jaman
  10. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mechi ikiahirishwa inapigwa kwa odd ya moja. Kwaiyo ulikua na odd ya 8 zikaashuka hadi 5.5 ndio maana umelipwa hvyo
  11. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ingia hapa LocalBitcoins.com: Fastest and easiest way to buy and sell bitcoins afu jisajili. Baadae bonyeza neno buy bitcoins. Chagua tanzania. Utawaona wauzaji kibao wa tanzania. Zenu fanya nao muamala
  12. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Fungua bitcon account. Afu purchase bitcoin kwa kiwango sawa na hela unayotaka deposit huko 1xbet in euros. Ukimaliza apo. Nenda kwenye akaunti yako ya euro kwenye 1xbet afu deposit kwa bitcoin. Pia ukiwa na bitcoin unaweza tumia hizo money transfer zozote uzijuazo i.e skrill, neteller etc...
  13. dalumi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tenniss hio odd ya mbili
Back
Top Bottom