Recent content by Dallah

  1. Dallah

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mtiririko wa sentensi zote hiz hadi kufika 459 bila kufika mwisho,mwisho hautapatikana labda tuishie hapa kwenye hii sentensi ya 460
  2. Dallah

    JamiiForums Tanzania Lazima mjue kutofautisha

    Kuna MATIKITI na MAFENESI MADAKTRI na MANESI
  3. Dallah

    JamiiForums Tanzania Tunatoa Huduma ya Plumbing

    Habari wakuu? Nimekuja mbele yenu kwa lengo la kutangaza kwamba Tunafanya plumbing katika nyumba na majengo makubwa kwa bei nafuu kufunga automatic fire sprinklers system,vyoo na aina zote za plumbing tupo Dar alie tayari ani pm aksanteni
  4. Dallah

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Mwakaleli
  5. Dallah

    JamiiForums Tanzania Huu udadisi ni tabu tupu!

    Dah mi binafsi sielewielewi kabisa
  6. Dallah

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Subiri uone kama katiba mpya itakubalika
  7. Dallah

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Taifa lililojaaliwa kila kitu lakin bado wananchi wake kimaisha hali bado tete
  8. Dallah

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa mia kwa mia (100/100)

    103..................
  9. Dallah

    JamiiForums Tanzania Utakuwa au huo ni ubwege

    Ukijizoesha kukaa kitaa bila kujishughulisha ni ubw.ege unasubir upewe tu utakua bwe.ge
  10. Dallah

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mabadiliko muhim kuepuka ukimwi michepuko sio dili baki njia Kuu
  11. Dallah

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sequence and series ni topic ambayo sikuielewa wakat nipo secondary
  12. Dallah

    JamiiForums Tanzania sitasahau!!!

    Sitasahau kunguru alivyoninyea nikiwa na mchumba
  13. Dallah

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Ngombeikomanye bagamoyo sec
  14. Dallah

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kama kuku ni jamii ya ndege,samaki ni jamii ya meli
  15. Dallah

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mjini hafukuzwi mtu
Back
Top Bottom