Recent content by Dalali wa Chalinze

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kama una mzigo mzuri wa NYANYA CHUNGU njoo pm tufanye biashara

    Salam! Habari za jioni wakulima popote pale mlipo,kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Mwenye mzigo wa nyanya chungu tuwasiliane ili tufanye biashara
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nauza dish la Azam

    Kwa hii hali bila watu kuwa na aibu tungeuziana chupi(Boxer) used
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ngoja nijaribu kutunga jinsi ya kuwa bilionea kwa hii 500

    kijana maisha yangekuwa unafikiria kirahisi tu kama hivyo unafanikiwa basi Watanzania tungekuwa tayari kwenye uchumi wa kati,kama ulikuwa haujui mambo yanayomkwamisha mfanyabiashara mdogo basi ni haya; 1.Gharama ya kula 2.Gharama ya makazi 3.Gharama ya matibabu. NB:Biashara yeyote haitakiwi...
Back
Top Bottom