Recent content by dalali Tambwee

  1. dalali Tambwee

    Car4Sale Toyota starlet inauzwa

    Toyota starlet inauzwa Bei million 4.3 Cc 1300 Gari ni nzuri Full ac Ipo dar es salaam 0784020604
  2. dalali Tambwee

    Car4Sale Gari inauzwa - Nissan March

    Nissan march Top speed 200 Cc 1400 Bei 5.5 million BIMA IPO HAIDAIWIII Sound option on steering Full ac na full file Gari haina changamoto yoyote ile ya ufundi Ipo dar es salaam , sinza 0784020604
  3. dalali Tambwee

    Car4Sale Gari inauzwa, ipo Dar es salaam

    Altezza Lexus Engine beams 2000 Bei million 4.6 Full ac na document Gari haina kipengele chochote kile, ipo Dar es salaam. Nicheki: 0784020604 Maongezi kwenye gari tafadhali.
  4. dalali Tambwee

    Gari kuchemsha

    Nimeweka ya plastic
  5. dalali Tambwee

    Gari kuchemsha

    Una fundi unaemjua ndo Fani yake hii
  6. dalali Tambwee

    Gari kuchemsha

    Bas naomba mwenye kumjua fundi mzur wa cooling system anipe namba yake ya simu gari ipo maeneo ya Tabata
  7. dalali Tambwee

    Gari kuchemsha

    Habar wakubwa na gari yangu aina ya nissan bluebird inAchemshA nimeshasafisha rejeta cyclinder head na gasket nshabadili ila bado inAchemshA baada ya dakika 5 au 10 nini itakuwa shida jamani
Back
Top Bottom