Recent content by Daktareee

  1. D

    JamiiForums Tanzania MOI na JKCI kuimarisha ushirikiano kuboresha huduma kwa wagonjwa

    Uongozi wa hospital Jkci-Dar Group lipeni watumishi wote Incentive bila upendeleo wala ubaguzi https://www.jamiiforums.com/threads/uongozi-wa-hospital-jkci-dar-group-lipeni-watumishi-wote-incentive-bila-upendeleo-wala-ubaguzi.2468495/
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Uongozi wa hospital Jkci-Dar Group lipeni watumishi wote Incentive bila upendeleo wala ubaguzi https://www.jamiiforums.com/threads/uongozi-wa-hospital-jkci-dar-group-lipeni-watumishi-wote-incentive-bila-upendeleo-wala-ubaguzi.2468495/
  3. D

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Taasisi ya JKCI - Dar Group lipeni watumishi wote Incentive bila upendeleo wala ubaguzi

    Uongozi wa Hospitali ya JKCI - Dar Group watumishi wenu wanawakumbusha kuwa wamekua wenye subra na wavumilivu sanaa huku wakitumiza wajibu wao kikamilifu bila motisha, awali ya yote mrejee ahadi zenu na utaratibu/miongozo ya taasisi JKCI juu ya malipo ya incentive kwa watumishi wote. 01...
  4. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hospitali ya JKCI-Dar Group mnaihujumu Serikali kwa Kukiuka makubaliano ya Serikali na wafanyakazi mliowakuta

    Pia tutatuma ujumbe maaum kwa waziri wa Tamisemi Mh Mchengerwa na wizara ya afya Pili michakato ya ajira za kudumu (cheque namba) isimamiwe na utumishi hawa watu wa ndani wasihusike wapo very biase na wamekua wakitishia watumishi , imagine mikataba wanatoa kwa upendeleo so cheque itakuwaje ...
  5. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hospitali ya JKCI-Dar Group mnaihujumu Serikali kwa Kukiuka makubaliano ya Serikali na wafanyakazi mliowakuta

    @khimjo shida ni viongozi wa ndani specifically mfano mkurugenzi wa dar group mostly hashindi ofisin kabisa ,na hawa viongozi wao ndio wanakaa vikao vya uongozi vyenye maamuzi na maamuzi yao mengi ni kujali maslahi yao binafsi ,pia haya ni malalamiko ya watumishi wengi hadi kufikia kuleta huku...
  6. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hospitali ya JKCI-Dar Group mnaihujumu Serikali kwa Kukiuka makubaliano ya Serikali na wafanyakazi mliowakuta

    OSBON kweli kabisa huduma nzuri sana na watumishi wanajituma licha ya changamoto wanazoendelea kupitia
  7. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hospitali ya JKCI-Dar Group mnaihujumu Serikali kwa Kukiuka makubaliano ya Serikali na wafanyakazi mliowakuta

    Takriban mwaka miaka 3 tangu Serikali JMT kutangaza kuchukua umiliki wa hospitali ya Dar Group kupitia Waziri wa afya wa wakati huo Ummy Mwalimu siku ya makabidhiano na kuiweka chini ya umiliki wa Taasisi ya moyo JKCI , pia ilichukua rasilimali zote ikiwemo majengo, vifaa tiba , pesa na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2024/2025 serikali itoe ajira rasmi kwa wafanyakazi wa JKCI-Dar Group

    Wanajali maslahi yao binafsi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2024/2025 serikali itoe ajira rasmi kwa wafanyakazi wa JKCI-Dar Group

    Update: Imagine taasisi moja ila malipo ya night call na overtime tofaut sababu hizo cheki namba ,yaan mnafanya kazi idara moja muda sawa (night na overtime) ila mwenzio analipwa mara 2 zaid ako kusungizio cheki namba , pili kama mmechukua hospital na kila na mnawaamisha ni watumishi wa umma ktk...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2024/2025 serikali itoe ajira rasmi kwa wafanyakazi wa JKCI-Dar Group

    Wameshasubiri kwa muda mrefu na wamekua wakipewa ahad hewa hawajui hatma yao na hawapati stahiki zao kama inavotakiwa kwa kisingizio kuwa hospital inajiendesha bila msaada wa serikali. Na dalili zilizopo ni kuwa hata bajeti hii hamna dalili za watu kupata ajira, watende haki watu wapate ajira...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2024/2025 serikali itoe ajira rasmi kwa wafanyakazi wa JKCI-Dar Group

    psychologically inaaffect na kuwa demoralize
  12. D

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2024/2025 serikali itoe ajira rasmi kwa wafanyakazi wa JKCI-Dar Group

    https://www.jamiiforums.com/threads/bajeti-2024-2025-serikali-itoe-ajira-rasmi-kwa-wafanyakazi-wa-jkci-dar-group.2215968/ bwashee2020
  13. D

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2024/2025 serikali itoe ajira rasmi kwa wafanyakazi wa JKCI-Dar Group

    Ahsante kwa niaba mkuu msakaa jr
Back
Top Bottom