Recent content by dahil

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

    Unauhakika na ulichosema? au kwa kuwa unauhiru wa kutoa maoni
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

    Hii umeitoa wapi? Kuna amri au sheria inayosema ukifika umri fulan hupaswi kuoa au kuolewa , Mtu anaolewa au kuoa akiwa na huo utayar na sio umri fulani
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia. Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua...
Back
Top Bottom