Recent content by dafroser

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote

    steveson manumbu,pole dada yote mapito lkn kuwa jasiri na usikufuru mungu anatoa kwa kila mja wake na kwa muda mwafaka. kweli kaka tena na Mungu Anisamehe,napita Pagumu.Anipe Tu Kazi.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote

    Wanajamii bado nalia na nyie ndugu zangu.wenye uwezo wa kunisaidia wanisaidie kibarua please. # yangu 0655042717.mbarikiwe
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote

    Mungu always anajua chozi LA kila amwombae hawahi wala hachelewi Ndugu Yangu Nimefika Mwisho Hadi Naona Sasa Anachelewa Maana Nakaribia Kufukuzwa Kisa Kodi,wanangu Sometimes Wanashinda Njaa,hapa Ningekua Na Kazi Yangetokea Wapi?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote

    Pole sana!!! je? unaweza ukafanya kazi kijijini? mimi Ndugu Sichagui,popote Pale Halali Yangu.Nakula Msoto,chakula,kodi Na Mengi Shidaa..Ndugu Yangu.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote

    kweli Atafanya Ila Jamani Napitia Msoto.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote

    Nimefunga Na Kuomba Lakini Ndo Mambo Yanazidi Kua Mabaya.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote

    Kiwango cha elimu?Form 6 Na Diploma In Travel N Tour Operations Mkuu.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote

    Salamu zenu ndugu zangu, mwenzenu kwa kweli nimefika mwisho na hii ishu nzima ya kusaka ajira, sioni dalili ya kupata, imefikia ndani hadi nimeishiwa na chakula, watoto wanalala njaa, nguo zimewaruka viatu ndo wanamalizia pea ya mwisho . Jamani kama single mama mwenye uchungu na hofu ya watoto...
  9. D

    JamiiForums Tanzania French/italian Speacking Lady Is Looking For A Job in arusha or moshi.

    Habari Zenu Wakuu,nisaidieni Wenzangu,kwa Utalam Wangu Wa Luga Hizo Natafuta Kazi Kwenye Secta Ya Kitalii/hoteli.Nina Uzoefu Wa Kufanya Kazi Kwenye Idara Za F/O,housekeeping,gift shops na hosting.ni pm yeyote mwenye kuweza kunisaidia ama nipigie 0756597108.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Vacancy For Head Housekeeper In Serengeti

    mm nimejitumia application zangu,cmu nimepiga ikapokelewa vizuri na mdada,nasubiri majibu,akinieleza mambo ya udalali si napita kushoto,acheni kuharibiana,m2 mzima akiona anatapeliwa si anapita zake hiviii?
Back
Top Bottom