Mimi nilijiunga na jamii forum cause it is the only place naweza pata breaking news za uhakika na pia kuelimishwa katika maeneo mbalimbali kama ujasiriamali afya na mengineyoOut of topic please naomba mnikumbushe namna ya kutoa cash mchango jamii forum nimepoteza simu na namba niyokuwa naijua ya...
Yaani hata sielewi wanakuwa na maana gani kufanya hivo kwani kila mtu ana haki ya kuishi hata kama ni mtuhumiwa wa mauaji kwani mahakama ndo itaweza kuamua anyongwe but in the mean time anatakiwa kutibiwa na kuokolewa maisha sasa wanapotaka pf 3 sijui wanamaanisha nini au wanajaribu kuzuia nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.