Recent content by dada80

  1. D

    JamiiForums Tanzania Watu waliofanya mitihani zamani wote wamenyimwa mikopo

    mimi pia nimepata na nimemaliza form 4 mwaka 1997
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mishahara

    materials pls ndugu nihifadhie hapo muhas nakuja 1yr
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini lawama kwa HESLB tu.

    ndugu uliye post hii thread unakosea sana, kumbuka kuwa hata hao wabunge na mawaziri walisomeshwa kwa pesa za walipa kodi why us?? kwani wao wazazi wao hawakuwa na uwezo? na wewe upo kwenye kundi gani ? si ajabu na wewe pia ulisoma kwa pesa za walipa kodi, please usizidi kuwatia watu uchungu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya waliokosa Mkopo toka HESLB 2013?

    baba genovivah .pole ila usife moyo kaza buti mambo yatasonga, hope we will b together muhas b pharm. ila wale walinzi bodi wanazingua kichizi ikiwezekana ukifika pale uwadanganye kuwa mkopo umeenda kwingine la sivyo watawabania
  5. D

    JamiiForums Tanzania Waliomaliza Diploma 2013 kukosa Mkopo: NACTE wawalaumu HESLB?

    mimi pia nimepata mkopo tena niliomba na cheti cha diploma nilimaliza form 4 mwaka 1998 na diploma mwaka 2005, nimepata chuo muhas bpharm. jambo la msingi ni kufatilia bodi ya mikopo kwa waliokosa na ninaimani kwa uwezo wake mungu mtafanikiwa. nawatakia kila la kheri na mungu awatangulie mfanikiwe
  6. D

    JamiiForums Tanzania muhas- admission form vp?

    wandugu mimi nimechaguliwa muhas na tar ya kuripoti ni tar7 oct but mpaka leo hawajatoa admission form .sasa hii inakuwaje kwa sisi ambao tunaishi mikoani! kila nikifungua web site hawajaweka
  7. D

    JamiiForums Tanzania Jamani diploma muhimbili.

    mbona majina yameshatoka since last friday ndugu? tembelea website yao.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Muhas what you are doing is not fair

    asanteni sana ndugu zanguni.mimi mwenyewe nimechaguliwa pale B.pharm.hapa nilikuwa nachanganyikiwa kupata mil 1.6 za tuition fee kama tulivyoambiwa.kumbe inabidi niwe mpole
  9. D

    JamiiForums Tanzania muhas-equivalent qualifications

    ok thanks
  10. D

    JamiiForums Tanzania muhas-equivalent qualifications

    mimi nipo dar ndugu yangu.ila wangetoa majina mapema wangetusaidia sisi tuliopo makazini kama tumechaguliwa tuweze kufanya taratibu za ruhusa mapema
  11. D

    JamiiForums Tanzania muhas-equivalent qualifications

    wadau mimi nimeomba chuo muhas kwa kutumia diploma mpaka sasa naona kimya .mwenye tetesi jamani majina yatatoka lini na first year wanafungua linii?
Back
Top Bottom