Recent content by D2023

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Ukerewe aendelea kuzuia barua za watumishi

    UTUMISHI na TAMISEMI fuatilieni kwa makini sana utekelezaji wa maelekezo yenu kwa wakurugenzi na maafisa rasilimali watu kwenye halimashauri ya wilaya Ukerewe, kwakuwa mkurugenzi bado anaendelea kuzuia vibali vya uhamisho bila sababu zozote za msingi.
Back
Top Bottom