Kifaa hiki nimekitengeneza kinauwezo wa kuwasha vifaa vya umeme kwa njia tatu.
1: Kwakutumia switch za kawaida.
2: Kwakutumia Bluetooth kwenye smartphone yako.
3: Kwa kutumia internet kwenye smartphone yako ambapo hapa unakuwa na uwezo wa kuwasha na kuzima vifaa vyako vya umeme vilivyopo...
Kwa atakae hitaji pump za solar ninazo mbili ni mpya kabisa hazijawai tumika kutoka kwa kampuni ya Lorentz
Power=1700W
Head=120m
Price @1,400,000
Zipo mbili
Location= Dodoma
Phone: 0715277821
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za usiku wadau wote wa umeme,, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza tunajua kwamba imezoeleka wiring kwenye corridor fupi unaweza tumia switch mbili za 2 way na intermediate switch moja au corridor ikiwa ndefu zaidi unaweza ukatumia 2 way switch mbili na intermediate switches...
Yes mkuu matatizo makubwa kwenye mifumo mingi ya solar kwa sasa hayatokani na ubovu wa vifaa vya solar bali ni kwamba mtumiaji anataka kutumia zaidi ya kinachozalishwa na system yake ya solar mwisho wa siku anajikuta hapati kile anachotarajia.
So step ya kwanza kabisa unapofikiria kufunga mfumo...
Kwa anaehitaji kujua hesabu za namna ya kupata size ya
Panel
Battery
Charge conltroller
Inverter
Cables
Vyote hivyo nafundisha kwa kiwango cha juu kabisa kwani ninauzoefu mkubwa katika kufunga mitambo mikubwa ya solar na kampuni ya Schneider electric ya ufaransa.
Pia kwa anaehitaji program...
RCD ni kifaa kinachotumika kwenye mfumo wa umeme iwe majumbani au viwandani na kinakuwa na uwezo tofauti tofauti kulingana na mhali kinapotumika.
RCD nyingi zinazopatikana ni 30mA,100mA na 300mA.
Kazi ya RCD ni kumlinda mtumiaji wa umeme dhidi ya indirect electric shock. Kama tunavyojua IEC60364...
Waya mzuri ni waya ambao utapitisha umeme kwa urahisi ila mzuri ni copper wire ila uwe mnene kuepuka voltage drops zinazoweza kusababishwa na wembamba wa waya ila kiutaalamu wanasema waya mdogo kabisa unaoweza kuutumia kwenye mfumo wa sola ni 2.5mm² ila mm nachoshahuri watu wengi ambao hawajui...
Hapo kuna matatizo kama matatu hivi
Moja nikwamba betri liwe la solar au la gari acid inapopungua wakati wa matumizi huwa linajazwa na maji baridi(distilled water) ukiweka acid huwa linaharibika.
Kitu cha pili battery capacity huwa inabadilika kulingana na kiwango cha joto so unashauriwa...
Zipo nyumba ambazo swala la shading kwenye solar panels juu ya paa haliepukiki kutokana na nature ya paa lenyenyewe lilivyopauliwa ("complicated roofs") au kutokana na nyumba za jirani zilizoizunguka nyumba hiyo yenye solar panels juu ya paa kuwa ndefu zaidi au kutokana na uwepo wa miti mirefu...
Maisha ya betri huwa ni number of cycles ambazo zinakuwa indicated kwenye betri data sheet so kwa mfano ukikuta betri ya 5000cycles maana yake unaweza ukaicharge na kuidischarge mara 5000 mpaka betri kuja kufa na unapochaji mpaka likajaa halafu ukatumia mpaka likaisha hapo unakuwa umeshatumia...
Betri zinazoongezwa maji zinafaida nyingi sana ila chache kati ya hizo nyingi ni kwamba zina maisha matefu ukilinganisha na hizo betri za AGM na GEL, pia swala la kiluzifanyia maintenance ni simple, pia storage capacity ya betri huwa inapungua kutokana na kupungua kwa acid ndani ya betri sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.