Recent content by cutebulbul4

  1. cutebulbul4

    Transfer TCU leo jioni

    kweli medical programes wametoa majina
  2. cutebulbul4

    Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    yah bora ukajisajili tu chuo ulichochaguliwa awali, maana unaweza subiri wakati umekosa hizo nafasi za transfer na chuo deadline ya usajili imefika.
  3. cutebulbul4

    Majibu ya Transfer yanatoka lini?

    mie nitavumilia hadi kesho , yasipo toka basi naenda chuo nilichochaguliwa, transfer zenyewe tunazisubiri utakuta hata hatujapata tunapoteza muda tu
  4. cutebulbul4

    Scholarships za Algeria

    habari, kuna rafiki yangu amepata scholarship algeria, anaomba ushauri kwa anayefahamu ubora wa elimu ya nchi hii na changamoto anazoweza kukutana nazo akienda huko?
  5. cutebulbul4

    Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    jamani mtakao pata updates zozote naomba mtujulishe, maana tupo tu home hatujui kinachoendelea
  6. cutebulbul4

    Majina HESLB yaongezwa

    naomba unia.gilize hii s1842/0004/2011
  7. cutebulbul4

    Naomba msaada wenu kuhusu usajili wa chuo

    wasubiri tu, kwasababu wameshaiona barua yako. na huko ud usiende kujisajili kwasababu majina yakitoka umepangwa nit utasumbuka bure
  8. cutebulbul4

    Riba kwenye mikopo ya HESLB

    mhh nilishamuamini kumbe mambo tofauti
  9. cutebulbul4

    Riba kwenye mikopo ya HESLB

    asante nimekuelewa
  10. cutebulbul4

    Riba kwenye mikopo ya HESLB

    habari mie naomba kujua hii mikopo ina aslimia ngapi ya riba, isiwe tunashangilia kuipata wakati wa kulipa tukalia, kwa mfano umekopeshwa million 4 utalipa million ngapi?
  11. cutebulbul4

    Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    na je kama mtu umeandika barua kubadilishiwa course ndani ya chuo na pia umetuma transfer form tcu ya kubadili chuo hapo inakuwaje ? inakubalika kweli kufanya hivyo?
  12. cutebulbul4

    Transfer yaweza kuniokoa?

    eti kama unasubiri transfer, registration utafanya au mpaka majina ya transfer yatoke?
  13. cutebulbul4

    Wale wa SUA mkopo huu hapa

    waliopata four wapo na wana mkopo
  14. cutebulbul4

    Transfer to Medical Related Programm

    yani inawezekana ukafanya vyote kwa pamoja kuomba kutransfer chuo na kuomba kubadili course ndani ya chuo
  15. cutebulbul4

    Transfer to Medical Related Programm

    inawezekana kuomba transfer ya chuo na transfer ya course ndani ya instution kwa pamoja?
Back
Top Bottom