Recent content by Curious Dadi

  1. C

    Mwabukusi: Mbeya Sio Jiji ni Mkusanyiko wa Vijiji Vikubwa. Haina Miundombinu na Mzunguko wa Pesa ni Mdogo

    Haya ya kusema mbeya haina hadhi ya jiji yanasemwa na wengi tu sio mwabukusi pekee, sio muda mrefu uliopita watu walikua wanalalamika miundo mbinu mibovu ya barabara iliyokithiri, vumbi limetawala hakuna barabara za kiwango cha lami za kutosha.
Back
Top Bottom