Wewe jamaa Kuna namna umelelewa, nikwambie nilipokua mikononi mwa wazazi nilikua naona kabisa hapa mama kachafua hali ya mambo mzee akitembeza kipigo wala sina habari,
Ila ungesema kwa wale akina baba wasiojitambua jambo dogo tu ye kichapo tu, mwingine akilewa ni kichapo bila sababu hapo...
Wao waislam taraka zinafanya kazi yakwanza, asipojirekebisha anapewa nyingine asipojirekebisha anapewa nyekundu lakini sisi haturuhusiwi kutoa taraka eti tufe na tai shingoni.
Wengi wakikua wataujua ukweli na watakupenda sana tu na watamchukia mama yao, mi sifikirii na hainiingii akilini mwanaume umpige mkeo bila sababu tena iliyoshindikana kuvumilika.
Sio inferior mkuu najiamini na nipo strong hawa wadudu (wanawake) akili zao nazijua ila hiyo ni option mojawapo maana ukimzidi kila akikutizama anaona weee wataniibia nisipotii lakin akikuzidi aisee anakuona takataka mbona wanaume Wengi wanamtaka.
Usiogope kuoa ila kwa ushauri wangu kwako na uzoefu nilonao, usije thubutu kuoa mke anayekuzidi UZURI.
Wengi mtashindwa kunielewa kwa haraka namaanisha nini
Wenye IQ nzuri wataniunga mkono.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.