Recent content by cupvich

  1. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ili kumuwezesha mhitimu wa chuo kujiajiri, serikali ikate asilimia 25 ya pesa yake ya kujikimu (boom) na kumlipa baada ya kuhitimu kama mtaji

    Nimekuelewa ndugu mwana jf. Ni kweli kiasi kilichopendekezwa hapo kinaweza kisitoshe lakini.. maana ya andiko hili ni kwamba pamoja na kwamba serikali inatakiwa ikate asilimia 25 ya pesa ya Bumu kwa ajili ya kumuwezesha kijana kujiajiri. Serikali hiyohiyo haina budi kumuongezea MTAJI wa kutosha...
  2. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nchi ya kusadikika ambayo kila mwalimu wa kitanzania anaitamani

    Ahsante mwana if tuendeee kusoma MAKALA hii
  3. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nchi ya kusadikika ambayo kila mwalimu wa kitanzania anaitamani

    Yeah akajinyonga
  4. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nchi ya kusadikika ambayo kila mwalimu wa kitanzania anaitamani

    Ahsante sana mwaba JF
  5. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nchi ya kusadikika ambayo kila mwalimu wa kitanzania anaitamani

    "Baba Wande amka unachelewa kazini" ilisikika sauti ya Mke wa mwalimu Matinyi ambaye ni mwalimu wa somo la hisabati katika shule ya sekondari MAPWE. Kwa haraka mwalimu Matinyi aliangalia saa yake na kugundua kuwa ni saa kumi na moja na dakika kumi alfajiri,alikumbuka kuwa yuko zamu kwa wiki...
  6. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Pale ambapo mimi na wewe tumeshindwa kumlinda mtoto wa kike, teknolojia ya habari na mawasiliano haina budi kuingilia kati

    Asante mwana jukwaa kwa kuendelea kusoma andiko hili na kulipigia kura
Back
Top Bottom