Recent content by culman

  1. C

    Kiwanja kinauzwa sqm 800

    Kiwanja chenye ukubwa wa squaremiter 800 kinauzwa kipo kigamboni karibu na Dege ECo Village Bei ni Tshs 12,000,000/= Ni unserveyed Panafikika kwa gari Tuwasiliane kwa na 0765413120
  2. C

    Stationary ya kisasa inauzwa

    1.Ipo Tabata Kimanga-Kituo cha Basi 2.Inafanya kazi hata sasa 3.Average turnover (wastani wa mauzo) kwa siku ni kati ya Tshs 30,000 hadi 60,000/= 4.Kodi ya fremu ni Tshs 100,000/= kwa mwezi 5. Machine zilizopo: Copy machine, Binding, Lamination, Business cards cutter, Passport size machine...
  3. C

    Anahitajika mfanyakazi wa stationary

    Anahitajika mtu mwenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kazi ya stationary Sifa: Amehitimu kidato cha Nne Anaweza program za Ms word, Excel na Publisher Umri usizidi miaka 25 Awe single Kwa mawasiliano piga 0784259521
  4. C

    Stationary ya kisasa inauzwa

    1.Ipo Tabata Kimanga-Kituo cha Basi 2.Inafanya kazi hata sasa 3.Average turnover (wastani wa mauzo) kwa siku ni kati ya Tshs 30,000 hadi 60,000/= 4.Kodi ya fremu ni Tshs 100,000/= kwa mwezi 5. Machine zilizopo: Copy machine, Binding, Lamination, Business cards cutter, Passport size machine...
  5. C

    Stationary ya kisasa inauzwa

    For more explanation just call me
  6. C

    Stationary ya kisasa inauzwa

    picha zake zimeambatanishwa
  7. C

    Stationary ya kisasa inauzwa

    Stationary ya kisasa, iliyosheheni vitendea kazi vyote inauzwa Tshs 9,508,462/= kwa mchanganuo ufuatao: 1) Thamani ya bidhaa zilizopo ni Tshs 4,025,250/= 2) Thamani ya Non current assets Tshs 4,459,000/= 3) Kodi ya pango kwa miezi sita (July-Dec 2014)...
  8. C

    Machine ya kuprint vitabu inahitajika

    Wadau naomba mnisaidie kujua wapi nitapata machine za kuprinti vitabu, gharama zake na aina gani ya machine inaubora?
  9. C

    Laini ya TIgopesa inauzwa

    Nauza laini ya TIGO-PESA kwa bei pouwa! Tshs 750,000/= kwa mwenye kuitaji anitafute kwa namba 0765413120 na nitamuelekeza mahali pa kunipata. Usiwe na hofu juu ya uadilifu wangu, nimtumishi wa umma na nitakuelekeza ofisi yangu ilipo.
  10. C

    Laini ya "tigo pesa" inauzwa

    Nauza laini ya TIGO-PESA kwa bei pouwa! Tshs 750,000/= kwa mwenye kuitaji anitafute kwa namba 0765413120 na nitamuelekeza mahali pa kunipata. Usiwe na hofu juu ya uadilifu wangu, nimtumishi wa umma na nitakuelekeza ofisi yangu ilipo.
  11. C

    Laini ya tigo-pesa inauzwa

    Kwa nini usiifanyie biashara mwenyewe? Nashukuru mkuu kwa swali lako, bila shaka swali lako linalengo la kujirizisha au kujipatia uhakika juu ya hii laini. Napenda kwanza mkuu kukutoa wasi wasi juu ya hii laini, mimi ni mtumishi wa serikali na pia ninabiashara kadhaa. Ukiwa tayari nitakupa...
  12. C

    Laini ya tigo-pesa inauzwa

    Kama uko serious mkuu, piga cm!
  13. C

    Laini ya tigo-pesa inauzwa

    Mkuu kwa laki tano (500,000) laini ya TIGO PESA utatapeliwa! we kama uko serious, piga simu tuongee biashara.
  14. C

    Laini ya tigo-pesa inauzwa

    Laini ya Tigo pesa inauzwa! Tshs 850,000/= mwenye kuitaji anitafute kupitia 0765413120
  15. C

    Business partners are welcomed

    Hello Guys How are u! Am Mr Culman (Just a user name), a civil servant and God fearing man; running secretarial business dealing with typing & printing, lamination,photocopying, cards making of all types, 3mnts passport size and selling various secretarial goods. The business was lunched...
Back
Top Bottom