Mkuu Richard,
Umeandika mambo mazito sana Mkuu wangu na hapo kwenye bold ndipo uliponikosha zaidi maana ndipo palipokuwa panaleta ugomvi kati yangu na Ndugu Nkuba25.
Tupo pamoja 🤝 sasa.
Cc: Nkuba25.
Wewe unasema anakuwa anacoordinate, mwenzako alisema ndiye aligundua.
Nilichopinga Mimi ni yeye kusema kwamba huyo Jenerali wa Urusi ndiye aligundua Hybrid Warfare.
Umenipata? Naona hata wewe umejitenga na ugunduzi na kujielekeza kwenye cordination.
Nkuba25,
Ninavyofahamu, Hybrid Warfare in matumizi ya vitendo mbalimbali vyenye lengo la kudistablize au kumvuruga adui iwe katika vita au isiwe katika vita.
Mfano wa vitendo vya Hybrid Warfare ni;
1. Kuingilia chaguzi (Interference in electoral process),
2. Mashambulizi ya mtandao (Cyber...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.