Recent content by cuf kurugenzi habari

  1. C

    Picha: Sakaya atikisa jimboni kwa mzee Sitta, Urambo

    Nashukuru mods, kwa kuweka sawa heading. Tupo pamoja.
  2. C

    Picha: Sakaya atikisa jimboni kwa mzee Sitta, Urambo

    Nianze kwa salamu haki sawa kwa wote. CHAMA CHA WANANCHI Cuf WASHAMBULI JIMBO LA Mhe Samweil John SITTA. Naibu Katibu Mkuu wa Cuf Magdalena Sakaaya anaongoza kikosi cha kumuondoa Mhe SITTA jimboni URAMBO kwa kufanya mikutano kila KIJIJI kuanzia JUZI. Sakaaya amesema "Cuf tumeapa kuwa Mhe...
  3. C

    Picha: Baada ya Prof Lipumba kufanya maandamano makubwa Tunduru, baada ya Idd ni Lindi na Mtwara

    NIANZE KWA SALAMU MUHIMU HAKI SAWA KWA WOTE Kutokana na maandamano makubwa yaliongozwa na mwenyekiti wa chama cha wananchi (cuf), taifa Prof Lipumba, katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma , kama picha inavyoonesha... Prof Lipumba amesisitiza mambo yafuatayo kwa wananchi 1. waikatae...
Back
Top Bottom