Jamani dunia hii mbaya. Kuna rafiki yangu kanieomba ushauri kuwa sasa ni miezi nane yeye na mumewe wanalala kitanda kimoja hamna kitu. Wanasalimiana tu asubuhi halafu kila mmoja anaanza. Jamaa kakauka na mama naye anamwangalia tu haya ni baadhi ya matukio na Bibie kasema amechoka kabisa na mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.