Historia ya Israel kuhusu usalama wa raia wake inajulikana kwa sera zake kali za ulinzi na kujihami, hasa kutokana na changamoto za kijiografia na kisiasa ambazo zimeikumba nchi hiyo tangu kuanzishwa kwake mwaka 1948. Nchi imejikita katika kuhakikisha usalama wa raia wake kwa kutumia mbinu...
Serikali ya Tanganyika inachezewa na wazanzibari haswa.
Watanganyika wamelala, Tutakuja kulipa ela Nyingi Sana za DP world kutoka na Mkataba wa sasa Kati ya Tanzania na DP world.
Haya ndio matatizo ya mikataba mibovu kati ya Tz na nchi zilizoendelea. Kuingia mikataba mibovu na kutegemea kubadili sheria baada ya muda haisaidii. Serikali inazidi kupoteza mabilion zetu za kodi kwa uzembe ya wachache.
Dp walipatikanaje????Walijuaje bandari ya DSM inatafutiwa MTU??? Ni maswahili yananisumbua sana akilini .....
Viongozi katika huu mkataba wa Bandari kutakuwa na donge nono la Rushwa kila Mwezi watakuwa wamecheza sio kwa kelele hizi na bado watu wanatiwa ndani kwa sababu ya Kupinga........
Ya...
Chief rushwa IPO kila sehemu, ukibinafsi haimaanishi rushwa imeisha umehamisha kutoka Kwa watu wa kitengo cha chini Hadi Kwa wakuuu wenye mamlaka.
Pia rushwa IPO Hadi Kwa mataifa makubwa, sehemu wao Wana operate kwenye Invoice hakuna jipya zaidi hapo.
Pia kama Taifa tunaonyesha weakness mdogo...
Kuhusu bandari mimi siungi mkono ubinafsishaji wake hata kidogo! Ibinafsishwe ili sisi tufanye nini? Kwani uendeshaji wake unagharimu nini ambacho hatukimudu kama nchi? Mbona ATCL inapewa ndege mpya na serikali na bado inapata hasara ila haibinafdishwi?
Bandari inaingiza hasara gani mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.