Recent content by crushed

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Asante sana
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Haswaa, yaan hiki ndo kinaniumiza
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Ana miaka 39
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Likizo tunawezaenda sababu wote tuna vipato tunaweza kujipanga tukapata likizo
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Asante sana kwa ushauri, nitafanya hvyo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Hapa na mkuu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Kwa hii hii take home ya laki tano?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Yaan mm sitahangaika kumtaftia madawa maana mimi cyo muumini wa madawa hayo
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Asante sana deep
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Siyo kweli, nasema hvi sababu nliwahi kujibishana na mchepuko wake akasema mwanaume mwenyewe Hamna kitu kwahyo anadhalilisha tu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Hii wala haipo kwenye mpango wangu, sitachepuka kwa hali yoyote ile mimi haya boyfriend tu sijawahi kumsaliti itakuwaje mume?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Basi wanawake wote aliodate nao walikuwa hawajiwezi kitandani kiasi cha mimi kumkuta amelegea kiasi kile? Tatizo lingeanza ndoani sawa lakin kuanzia mwanzo, Yale mapenzi motomoto ya wapenzi wapya yangemfanya basi asimamishe au awe na nguvu za kueleweka
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Yaan issue ni kwamba hakukosa nguvu za kiume sahv au tukiwa tushaingia kwenye ndoa, issue ni kwamba sikumkuta nazo yaan hata hiki kidogo sahv hakuwa nacho alikuwa kalegea kabisa kama ni umeme ulikuwa umekatika kabisa nikajifanya kiherehere kumbebea madhaifu yake atengamae lakin naona ndo ananilipa
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Nyege hasinisumbui, issue ni sina hisia nae yaan, ile kumpenda kama mwanzo haipo
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Kabisaaa
Back
Top Bottom