Recent content by Crusaders

  1. Crusaders

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapana ngoja niishie hapo.
  2. Crusaders

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeaminishwa kuwa kwa Mkapa hatoki mtu, hata akitoka ni draw.
  3. Crusaders

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shukran Mkuu, nimeumia sana,nikiona na shida kibao sijatatua aisee.
  4. Crusaders

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aliyeniambia nijaribu huu mchezo kaniongepea kabisa, Simba hata droo imemshinda,kapita na 250,000 yangu aisee ningefanyia jambo la maana, sirudii tena.
  5. Crusaders

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unahisi wewe ni mwelevu sana kupita wanadamu wote sio? Okay sawa, haina shida.
  6. Crusaders

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu mtu kwanini ananitusi mkuu? kosa ni nini kwani?
  7. Crusaders

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu ni kosa gani nimefanya kustahili hilo TUSI hapo juu? nina ugomvi na wewe? nimetumia pesa yako? au tulikuwa na share?.
  8. Crusaders

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Acha asawazishe tu mkuu,heri nusu shari
  9. Crusaders

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu hiyo ninayoiona hainipi matumaini.
  10. Crusaders

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu nimechukua hela,naombeni Odds 6 ni rebet bado najifunza.
Back
Top Bottom