Mzee siyakucheka sikuwah kutan na tapeli anaye jiamin km huyu sema nilipata hela zangu nusu tena kwa pinde najuz kati kuna mmoj anambia jira ipo ilabid ulioe nikamwamboa hakun shida mim nikikwambia pesa mpk nifik huniamin na ww ukinambia nikupe mwanz sikuamin kwaiyo tuna,tafute mtu wa tatu a,bae...
Hawa matapeli ni wengi mim binafsi yangu nilitapeliwa piya mambo haya haya polisi nikapigwa za kichwa nakumbumka jamaa alitaka milion tatu laki tano nikampa hela za mwanzo laki tano alafu alivyokuwa katili anajuwa nafasinhana ananambia ninunuwe tranka nijiandae daaa
Mzee mbon unaongea km yule jamaa wa jax unaukumbuka ule uzi wa kinjemo a tupeane updates ya ajira alafu ukawa ww ndo ulouchangamsha ule uzi nilikuwa ni fans wako mkubwa kaka kwenye ule uzi yan mpk unaongea ivo hizi story zote nazikumbuka story za big analala tu kweny gari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.