walimu ajira mpya waliokidhi vigezo vya kuthibitishwa kazini tangu February 2026 halmashauri ya dodoma jiji bado hawajathibitishwa kazini .
ukifuatilia TCS na utumishi dodoma jiji baadhi ya maafisa wanaomba rushwa na kusema kama ukitoa rushwa siku hiyo hiyo utathibitishwa kazini
wanatumia...
Watumishi wa TCS na utumishi Dodoma jiji wanaomba rushwa ili wathibitishe walimu kazini.
Walimu wengi tayari wana mwaka na miezi kadhaa kazini. Mfano walioajiriwa February 2025 hadi leo hawajathibitishwa kazini.
Kila wakifuatilia wanambiwa watoe rushwa ili kukamilisha process.
TAKUKURU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.