Recent content by crispin47

  1. crispin47

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa usaili wa mchujo na mahojiano

    Mimi nimeomba nafasi ya forest guard usaili wake upoje ...ni mazoezi ya kukimbia kama mashindano spidi ya swala au ni mazoezi ya kukimbia kama jogging kundi nzima yani mfano mnaambiwa mzunguke labda round kazaa???? Au usaili wake upoje
  2. crispin47

    JamiiForums Tanzania Tanzania Forest Service vyeo vyao vya kijeshi vinasomekaje au vinafanana na JW?

    Vyeo vyao ni vinafanana kama vya JWTZ ...mimi nafanya kazi ya TFS kwa mkataba naelewa vizuri
Back
Top Bottom