=Baada ya kuapply kazi husika. utasubiri kwa muda fulani , kupitia web ya utumishi watatoa majina ya wahusika waliochaguliwa kwenda kufanya interview( utaelekezwa mahali,siku na saa).
=utakwenda kufanya interview , utakaa tena kwa muda kusubiri. Kama utabahatika kufaulu interview, utapewa siku...