haitosaidia chochote angewaishwa hospitali ingejulikana yupo kwenye hatua gani(baada ya kuthibitishwa kama ni gangrene)kama ameharibika sana basi namna pekee n amputation (kukatwa mguu) mana wanavyozidi kuchelewa ndivyo viungo vingine vinavyoathirika
Kuna mambo mengi yanaendelea huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hili la connection limepamba moto, kwanza kwanini huu udhalilishaji unaitwa CONNECTION? Inaconnect nini na nn? kwanini inaitwa connection ya flani? binti au kijana au mzee mwenye jina lake flan bin fulani
Kwanini jamani...
alikuwa nakidonda cha wazi kilichosababisha bacteria kuingia ukiongelea gangrene iko na types nyingi na pia ukiachana na makundi ya watu walionauwezekano mkubwa wakupata kuwa na kidonda cha waz kinachoruhusu bacteria kuingia kunasababisha pia kupata gangrene
Binti Konko Said (12) yu mbioni kukatwa miguu yake pamoja na mikono yote baada ya kubainika kuwa na ugonjwa uitwao Gangrene.Ugonjwa wa gangrene unasababishwa na kufa kwa tissue zilizopo ndani ya mwili na kusababisha kutokufika kwa damu katika sehemu husika au bacteria infection
Mara uwapatapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.