Kuona cv ya mtu hasa viongozi wetu ni vyema zaidi maana zinatuispire kujituma kusoma na kutambua exposure zingine. Hata hivyo sidhani kama ni vyema kutukanana kama watu wasioelimika ni vitu vya kuelimishana tu .sasa hpa nimeambulia tu matusi kimsingi nilitamani kuona mtu anayemjibu huyu jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.