Bei ya mche inategemea na aina (variety) na ukubwa wake. Bei elekezi ni kati ya TShs 1,500 mpaka 3,500. Kwa maelezo zaidi tafadhali piga namba 0754 367650
Miche ya migomba aina ya Kisukari, Bukoba, Mzuzu, Mkono wa Tembo, nk., inapatikana Goba, karibu na Shule ya Sekondari ya St. Joseph Millenieum.
Kwa maulizo piga namba ifuatayo: +255 754 367650.
Karibuni sana.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.