Recent content by Corner stone

  1. C

    Pixel 3xl inakataa kusoma line

    Habari ya wakati huu wadau wa taknolojia. Nina shida na pixel 3xl yangu, nilikua naitumia Vizuri ghafla ikaniandikia there is no sim card though nimeweka sim card, nikarajibu kutoa Line na kuweka, kubadilisha line, kureboot, kureset network settings lakin haijasaidia shida bado Iko. Naombeni...
  2. C

    Pixel 5 yenye RAM ya GB 6

    Habari ya wakati huu wana JF, nimekutana na matangazo ya hawa jamaa wanaouza simu used from Dubai wakiuza simu ya google pixel 5 kwa bei nafuu ila wanasema ina RAM ya GB 6 na kwa ninavyo fahamu pixel 5 ina configuration moja tu ya RAM GB 8. Wenzetu wanapigwa au hili ni toleo jipya.
  3. C

    Google pixel 6 plain dhidi ya IPhone 11 plain nani mkali zaidi naomba kupata ufafanuzi nataka kuchukua mojawapo ya hizo brand

    kwanza we ni muha nin, mana umenishinda ubishi kha nimetumia kiswahili simple au ulitaka niweke kiingereza na kiswahili?[emoji23] sijawah kukutana na mtu mbishi kama wewe
  4. C

    Google pixel 6 plain dhidi ya IPhone 11 plain nani mkali zaidi naomba kupata ufafanuzi nataka kuchukua mojawapo ya hizo brand

    pumba kwa sababu unachokijua wewe kwenye picha ni software optimization nilikuuliza vinavyodetermine ubora wa picha hukujua kitu zaidi ya software optimization, unachokiongea wewe ndio pumba unajidharirisha mana unaonesha fika huwezi kutafsiri kiingereza kuwa kiswahili kwanj nilichokiandika...
  5. C

    Google pixel 6 plain dhidi ya IPhone 11 plain nani mkali zaidi naomba kupata ufafanuzi nataka kuchukua mojawapo ya hizo brand

    nilikufupishia ila hukuelewa,,vichwa vigumu kamaa wewe tunawapaga hiyo mmeze wenyewe
  6. C

    Google pixel 6 plain dhidi ya IPhone 11 plain nani mkali zaidi naomba kupata ufafanuzi nataka kuchukua mojawapo ya hizo brand

    nimekufupishia hujaelea, sasa kula chuma hiki Factors Affecting Smartphone Cameras The quality of pictures taken by smartphone cameras is influenced by a variety of factors, including: Sensor size: The size of the camera sensor affects the amount of light that can be captured and the level...
  7. C

    Google pixel 6 plain dhidi ya IPhone 11 plain nani mkali zaidi naomba kupata ufafanuzi nataka kuchukua mojawapo ya hizo brand

    basi ngoja nikupe maarifa kidogo, ubora wa camera za simu unategemea vitu vifuatavyo kiufupi 1.Aina la lenz (sensor) iliyowekwa 2..pixel zilizopo kwenye simu,,pixel nyingi zinaweza kuifanya picha iwe nzuri kwa kuwa itaonesha taarifa nyingi za picha,,mostly ukowa unazoom 3.idadi ya camera kwenye...
  8. C

    Kuna uwezekano wa Hard Disk Drive kuwa External Drive

    hiyo adapter unatakiwa kuinunua pia?
  9. C

    Google pixel 6 plain dhidi ya IPhone 11 plain nani mkali zaidi naomba kupata ufafanuzi nataka kuchukua mojawapo ya hizo brand

    sasa hii design imetofautiana vipi na design ya samsung s20 ultra? ukubali ukatae kwenye designing xiaomi bado hawaridhishi,,ila vingine wanajitahd
  10. C

    Google pixel 6 plain dhidi ya IPhone 11 plain nani mkali zaidi naomba kupata ufafanuzi nataka kuchukua mojawapo ya hizo brand

    siongelei mapenzi yangu bali naongelea fact, kama ukitaka simu yenye battery kubwa basi xiaomi infinix na tecno zitakua mkombozi wako kwa laki tano, ukitaka samsung yenye battery kubwa lazima mfuko wako uwe umetuna
Back
Top Bottom