Kosa ni kuunganisha picha 2. lakini je mnavyoshadadia mnanufaika nin? Kampuni yangu ni changa sana na inahitaji kukua zaidi. Makosa kama haya yapo lakini ustaarabu ni kuelekezana na si kuleta mizaha kwenye mambo ya kutafuta grisi.
Dawa bado ipo na inasafisha na kung'arisha vyema tiles na masinki
Huhitaji kubadili tiles au sinki lako kisa uchafu sugu. Kiboko ya kusafisha na kung'arisha marumaru, pamoja na masinki ya aina yote ni CORE CLEANING. Jipatie bidhaa ya core cleaning yenye ujazo wa lita 1 kwa Tsh 5000 na lita 5 kwa Tsh 22,000 tu. Kuanzia lita 5 wateja wa Dar mtaletewa popote...
Ninauza dawa ya kusafisha na kung'arisha tiles/ vigae pamoja na masinki vyoo na masinki ya kunawia mikono. Lita 1 ninauza Tsh 5000. Dar nakuletea popote ulipo lakini mikoani utatumiwa.
Kwa wanaohitaji huduma ya kusafishiwa tiles au masinki ya majumbani, hotel, shule usisite kuwasiliana nasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.