Recent content by coodip1

 1. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Hakuna chasiss ya bus iliyokaa juu hivyo peleka upuuzi kibera watakuelewa.
 2. C

  Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

  Uchumi mkubwa unajenga multiple sections ya SGR concurrently bila taabu [emoji4]
 3. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Kama hujui maana na utofauti wa economic rebase na change of base year hapo ndio utajua hujui
 4. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Ameamkia toka kwa slum amepata condition inayoitwa slum deja vu [emoji28] kila picha ya makazi akiona anafikiri ni slum maana ndio maisha yake yaliyomzunguka.
 5. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Ndio tupo wa tatu baada ya DRC kwa wingi wa watu mjini DSM lakini hatuna slums kama za jirani na Lagos.
 6. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Leta credible source ya hiyo rebase ya 2019. Sisi hatufanyi rebase bila takwinu za Housing and population census. We did census in 2012 rebase two years later in 2014. Now we are in the process ya census rebase expected 2023/2024 mark my words last time rebase haikuingiza mining and...
 7. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Tatizo sio Chato kiuhalisia kulikuwa na mikoa ambayo ilipaswa kumegwa kwa ukubwa wao kama Kigoma, Morogoro nk lakini Magufuli alistopisha kutengeneza new administrative regions ila cha ajabu Chato ikapigiwa chapuo sasa sijui ni kujipendekeza kwa watendaji wetu kama tulivyoona huko nyuma ama ni...
 8. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Wewe umeona kuna kibera style hapo kama Nairobi? That is 20km from cbd.
 9. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Ndio tunakusanya data za census kwanza baada ya hapo rebasing inafuata so tegemea in 2023/24
 10. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Sizitaki mbichi hizi [emoji28]
 11. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Angalia viwanja hapa wewe vimejengwa siku nyingi tuu na for your information hakuna hata club moja ya ligi kuu inayotokea huko. Ali Hassan Mwinyi Tabora na CCM Kirumba Mwanza hivyo vinakutosha kwanza maana viko vingi tuu.
 12. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  A GDP that cannot bail you out of trouble is a useless GDP [emoji38]
 13. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Pumbu imebanwa njooni Tz tuwasaidie kidogo.
 14. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Hapo hata chakula unaweza ukaweka chini na kula ila kuna mji hapa EA huwezi hata pita hata kwa miguu jinsi mji unavyonuka.
 15. C

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Hiyo ndio maana halisi ya kutiwa mfukoni. Kuku wako manati ya nini?
Top Bottom