I said it was among the reasons. Kama mazingira ni rafiki kwa biashara, what kind of a fool would decide to leave? By the way, have you ever bought anything online? Ile tovuti ya wasafi ya kuuza nyimbo uko wapi?
Ni kweli kabisa, online marketing bado ni kitu kigeni hapa. Wanaofanya wanafanya kienyeji. Lakini pia soko la kimtandao bongo lina changamoto nyingi. Watu hawana online experience yakutosha. Haya na mengine mengi ndio yamewakimbiza Jumia wakaamua kuikimbia bongo. Ni makosa makubwa kwa biashara...
Biashara na matangazo ya karne ya 21 yanategemea sana teknolojia. Tunaishi ulimwengu wa dijiti hivyo kila kitu hakina budi kufanywa kidijitali. Unaweza kuwa na biashara yako au kampuni yako inayotoa huduma ama bidhaa imara na uhakika kabisa lakini usipotumia bidii kujitangaza unaweza kuzidiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.